Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaka wai wai kidogo nakuomba 🎉🎉❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Mimi ninachoshangaa pasua kichwa zinatoka episode nyingi ndani ya wiki lakini big boss episode zake unasubiri sana kwanini wakati big boss ni nzuri sana zaidi ya pasua kichwa sio siri mnaboa,mimi nilikuwa naomba mrekebishe hili big boss zake naomba zitoke nyingi ndani ya wiki ili sisi viewers tuburudike siobsiri mkiendelea hivi nitaacha kufuatilia big boss na nitaacha kukufuatilia clam vevo
Kaka inafuata EPISODE 11 na cyo 10 kama ulivyoandika boss
Tatizo Kim unaongea kinyakusa ukidhania Kilaimoja anaongea lugha yako….behave yourself
Clam sasa huyo steven mweusi ninani mbona sisi huku Burundi hatuelewi 🤨🗣️
Mumu ache kanik bana😭😭😭
😂😂😂 cheusi jmn mdomo umemponza
Sema huyu Clam hatumzingatii tu lakini ana umtu na nusu fulani hv
cheusi alipewa laki tano haha ya elfu mbili
https://youtube.com/@dmbocho?si=z1iV7M9caqr-I9vQ
Bii boss
Nani kagunduwa kama mimi kwamba kaniki ni mchezaji mzuri!?
Jaman nyimbo nani kaimba naombeni jina la msanii
Sema Kim kachangamka sana
Duuuh! Haya maisha bora nibaki sinaga pesa kwakweli ntapambana mpk mungu atakapo bless.
13:28 ila Hawa 😂😂 aah 🙌
Asante vevo. Kwa big boss 2; hakuna zaidi yako kusema kweli ..
Kaniki😂😂😂😂😂😂