Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …

Posted inmoney

Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …
Comments are closed
๐๐๐๐ Tamaa tu nyoooo ๐๐๐๐ naomba mma
Huyo matula ni shoga ama vipi
VEVO movie kali saaana ila hapo kwa mchungaji umekosea muonekano wakiroma huwa anaonekana Padre ila wewe umemtambulisha kama mchungaji
Watu wanao andika mungu kwa nafasi ya Mungu huwa wana niudhi sana ๐๐
The episodes are too short , kindly try to prolong them , your series is very interesting ๐bravo
Naomba mungu amlinde uyu anae soma coment hii๐
What is the song title ๐ค๐ค
Noma sana
Kanikiiio apewe flowers jameni๐๐๐๐๐๐๐ametishaaa๐
Jamaa amekimbia kutoka posta hadi manzese kwa dk mbili๐
Apo ndoninapopatakaaaa
Mgaya kasepaa zake. Wlah๐
Mungu mbariki anae soma comment hi๐๐๐
Naomba mumaa kwanza ๐๐๐๐ jasiri kakimbia
Huu wimbo.unaitwaje jamani nidanlowd
Kanikii๐๐ muma naomba muma๐
Kaniki ameyatimba na kuyakanyaga
Clam umetishaa
Mbio za sakafuni
KANIKI WAMEMFANYAJE KANIKI!? ๐ ๐ WALITAKA KUMMATULA ๐๐