BIG BOSS l ep 42 l

BIG BOSS l ep 42 l


Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

20 Comments

  1. Daaah nipo naangalia huku naskiliza nyimbo ya harmonize mapenzi usiyazoee oyaaa weeee imenoga sio powww

  2. Matula fukuza huy mwanamke maan hakutendei haki kabisaaa maan kakudangany vyakutosha mfukuz akaendelee kuish na huy chokar mwenzake pia matul anajuwa kila kit anakuchora tub

  3. Duh chii anachokifany jaman hata hakipendez kabisaa anamkosea sana mume wake hata kama anamapungufu kias hicho maan dah ati anamleta mwanaum nyumban kwa mum wake halafu anajifany ni kaka yake kumb malay mwenzak

  4. Haya kaniki na nyoka wake sasa nyoka anatak tendo ati anaon wivu kanik akilala na mke wake jaman haya maisha mazuri siyo kuyataman kwa watu wengine kama hujajuwa kayapataje

Comments are closed