Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
Ila mama vevo kafanana na mke WA mchungaji
❤❤❤❤❤❤❤
Mkuu kuna dogo ana zingua 😅😅😅😅😅😅 hila mond wa spesho daah
clam amemfanya kiulizo awe muigizaj bola tanzania kwa sasa
Lakini clam anajua kuigiza kuliko Steve mweuzi
Kama unaamini big boss inazidi memkwa shool weka like
Mbna pameisha pahali pazuri😂
Me spend mchezo uwe umenoga alafu nachek next episode hakuna😂😂 aanhh mnakuwa mnaturudisha nyuma tutoleen atakama episod 3 tujuwe yas tunajipoza ila episod 1 mnatumiza tuhh hamjuw jinsi tunafocas nakufatiliaa iii series tunasubiri next episode kma mshahara wa mwez anhnhanh😅😅😢
Diamond platinum wa mchongo pmj na ally Kiba wa mchongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumama sengeeeeee
😂😂😂 Daaah ila mondi
😂😂😂matula na taarabu nimecheka sana leo😅
Dodo limejileta mwenyewe ushindwe wewe tu VEVO😊
Huyu aliyeapishwa leo msanii gani
Daaah ila chibu😀
We zombie haujuui😂😂
Hahaha matula bhn asa kwa hekaheka gani😅😅😅
Ila matulaaaa 😂😂😂
❤❤ ongera sana movie kali nanusu
nimemuona mondi live
Heka heka zao wanazijua wakitaka kupigana nenda😂😂 nao