Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …

Posted inmoney

Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …
Comments are closed
Afadhal huku hakuna tich zungu wala pm bet wala dala,,hamtak kutoa like au nije nichukue kwa nguvu😅😅😂
Nimekubali kilingala
Bora nifee masikini kuriko nipate pesa ambae siwezi kusaidia mama yanguu
Camera kali 🎉
Laahaula 😂😂😂cheusi akopeshi😂😂😂
Safi sana vevo❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana kaka 👏
Ivi like zinauziwa wapi mana naona watu wanaziomba kama mtaji nipeni like na kwakuzipelekaa😂😂
Clam tunaitaji vita ya kichawi na Freemason kweye seasons yetu ya big boss. Kwasababu tunaitaji kama big boss season 1
Movie ya moto
Vevo kingdom’s unafeli kwenye time management bas
Kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kinshasa. goma.kalemie.kisangani. like yangu jamani 😢
Jamani mama analima jua Kali yeye anamwaga Ella jaman 😭😭😭😭😭😭😭
Kanumba Congo 🇨🇩
huyu mama ametisha sana kwenye ihi movie big clam vevo nipe like zangu nzamani❤❤❤❤
Mie wa mwisho
Amenigusa na kuniumiza huyu mama namuona kama mama angu😭😭
Inasikitisha sana unasaidia wa2 wapemben afu mama sio anateseka humsaidia duuh inauma San hii movie inafundisha sana
Mmegundua kuwa matula ni shoga😅
Salamaleku